• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MANISPAA ya Songea yapokea zaidi ya sh.bilioni 1.229 Elimu bila malipo

Tarehe ya kuwekwa: June 11th, 2019


HALMASHAURI   ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma katika kipindi cha mwaka 2017/2018 imepokea jumla ya Tshs. 1,229,897,595.94 kupitia Mpango wa Elimu bila malipo kwa ajili ya shule za msingi.

Kwa kipindi cha Januari hadi machi 2019 Halmashauri imepokea jumla ya Tshs.424,324,914.99.kwa mgawanyo ufuatao;Capitation ni Tshs.189,578,545,.19, Chakula ni Tshs.71,146,369.80,Walimuwakuu(fedhazamadaraka)niTshs.121,600,000.00,Waratibu wa Elimu kata (Fedha za madaraka) ni Tshs.42,324,000.00

kwa kipindi cha mwaka 2017/2018 Halmashauri imepokea jumla ya Tshs. 1,229,897,595.94 kupitia Mpango wa Elimu bila malipo kwa ajili ya shule za msingi.

Kwa kipindi cha Januari hadi machi 2019 Halmashauri imepokea jumla ya Tshs.424,324,914.99.kwa mgawanyo ufuatao;Capitation ni Tshs.189,578,545,.19, Chakula ni Tshs.71,146,369.80,Walimuwakuu(fedhazamadaraka)niTshs.121,600,000.00,Waratibu wa Elimu kata (Fedha za madaraka) ni Tshs.42,324,000.00

Upatikanaji wa fedha hizi umeboresha miundombinu ya madarasa, vyoo, samani, upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia na kufundishia mashuleni na hivyo kufanya kazi ya ufundishaji kuwa rahisi kwa Walimu sawa na asilimia 100 ya utekelezaji wa fedha zilizopokelewa za Elimu Bila malipo.

Manispaa ya Songea kwa mwaka wa fedha 2017/2018 imepokea fedha ya miradi wa Lipa kulingana na matokeo (P4R) jumla ya Tshs.608, 362,148.42,fedha hizi ziligawanywa kama ifuatavyo,kiasi cha Tshs.445662148.42 kilipelekwa idara ya Elimu msingi kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na uboreshaji wa mazingira ya kusomea na kufundishia na kiasi cha Tshs.162,700,000.00 kiligawiwa Idara ya Elimu Sekondari kwaajili ya ukamilishaji wa vyumba 14 vya maabara katika shule 8 za sekondari na kazi hii imekamilika kwa  asilimia.

kwa mwaka 2017 Wanafunzi waliosajiliwa na kufanya mtihani wa kumaliza darasa la Saba walikuwa 5033, Wanafunzi waliofaulu walikuwa 3852 sawa na asilimia  76.5.  Kwa matokeo haya Halmashauri ilishika nafasi ya kwanza kimkoa.

Imeandikwa na Albano Midelo

Afisa Habari Manispaa ya Songea



Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Bil. 22.9 Kujenga Masoko ya Kisasa Manzese A na B, na Kiwanda cha Kuchakata Mazao ya Nafaka Lilambo

    July 06, 2025
  • MBUNGE SONGEA MJINI AKABIDHI KOMPYUTA NA KUFADHILI UKARABATI WA OFISI ZA POLISI

    June 27, 2025
  • DC Songea bAzindua Dawati la Huduma za Ustawi wa Jamii Stendi ya Mabasi Songea

    June 24, 2025
  • Meya Mbano; Amewataka Wananchi Kulinda Haki za Watoto

    June 16, 2025
  • Tazama zote

Video

Makabidhiano ya Mkataba Soko la Manzese A&B
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa