• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TUTANGAZE VIVUTIO VYA UTALII WETU.

Tarehe ya kuwekwa: October 13th, 2020

Jamii  inatakiwa kujijengea utamaduni wa kutembelea vivutio vya kitalii vilivyopo ndani ya Manispaa ya Songea na kuvitangaza ili  viweze  kuvutia wawekezaji ndani ya mji wetu.

Kauli hiyo  imetolewa na mtaalamu mwelekezi mkakati wa kuendeleza utalii  Mkoa wa Ruvuma  DR. H. Bohela Lunogelo katika kikao cha wakuu wa idara kilimo, mifugo, mipango, biashara, na maliasili kwa ajili ya kukusanya maoni na mkakati wa kuendeleza utalii kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Songea leo 13.10.2020.

Dr. Bohela Alisema ESRF ( economic and social research foundation) ni taasis inayofanya kazi ya utafiti wa kiuchumi na kijamii ambapo  watafiti hao ni  lazima wasimame mstari wa mbele na kutegemeana  kwa ajili ya kushawishi viongozi, Serikali, na jamii kwa ujumla katika kuleta matokeo chanya ya uwekezaji katika vivutio vya  utalii vilivyopo ndani ya Manispaa ya Songea.

Nao wataalamu walioshiriki kikao hicho walisema “ pamoja na uwepo wa vivutio vingi vya kitalii Manispaa ya Songea lakini vivutio vifuatavyo  vipewe kipaumbele ikiwemo na chanzo cha mto Ruvuma, Pango la asili la mlima chandamali, na Zoo Luhira ( hifadhi ndogo ya wanyama pori), kwa upande wa vivutio vya kiutamaduni wataalamu hao walipendekeza ngoma za asili, vyakula vya asili, Historia ya Chief Mbano, kwa upande wa vivutio vya kihistoria ni makumbusho ya Taifa ya majimaji, Mnara uliotumika kuwanyongea machief, pamoja na Makumbusho ya Mzee Kawawa.

 

Wakizitaja baadhi ya changamoto zinazokwamisha kutokuwa na vivutio bora vya kitalii ni pamoja na jamii kutofahamu uelewa wa umuhimu wa  vivutio vya utalii, Mapungufu ya Sera   kuhusu vivutio vya kitalii, na  Miundombinu mibovu. 

 

Pamoja na changamoto hizo, Manispaa ya Songea imeandaa mkakati wa kuboresha vivutio vya utalii ili wawekezaji waweze kuwekeza ndani Manispaa ya Songea.

 

IMETAYARISHWA NA;

 

AMINA PILLY;

 

AFISA HABARI MANISPAA YA SONGEA.

 

13.10.2020

 

 

 

 

 

 

 

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Bil. 22.9 Kujenga Masoko ya Kisasa Manzese A na B, na Kiwanda cha Kuchakata Mazao ya Nafaka Lilambo

    July 06, 2025
  • MBUNGE SONGEA MJINI AKABIDHI KOMPYUTA NA KUFADHILI UKARABATI WA OFISI ZA POLISI

    June 27, 2025
  • DC Songea bAzindua Dawati la Huduma za Ustawi wa Jamii Stendi ya Mabasi Songea

    June 24, 2025
  • Meya Mbano; Amewataka Wananchi Kulinda Haki za Watoto

    June 16, 2025
  • Tazama zote

Video

Makabidhiano ya Mkataba Soko la Manzese A&B
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa