Tarehe ya kuwekwa: March 7th, 2024
Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Dkt. Frederick Sagamiko amewataka kuchangamkia fursa za uwekezaji kuptia maeneo mbalimbali ya uwekezaji ambayo Halmashauri imetenga.
Kauli hiyo imetolewa jana...
Tarehe ya kuwekwa: March 7th, 2024
Afisa Elimu Mkoa wa Ruvuma Bi Edith Mpinzile akizungumza na wananchi katika viwanja vya Majimaji katika kongamano la Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika tarehe 06 Machi 2024....
Tarehe ya kuwekwa: February 29th, 2024
Halmashauri ya Manispaa ya Songea imetekeleza zoezi la utoaji wa chanjo ya ugonjwa wa Surua katika vituo 40 vinatoa huduma za chanjo ambapo jumla wa watoto 32,272 wenye umri wa miezi...