Tarehe ya kuwekwa: January 8th, 2020
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina ameagiza soko la mnada wa Upili eneo la Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma likabidhiwe Halmashuri ya Madaba.
Waziri Mpina ametoa...
Tarehe ya kuwekwa: January 8th, 2020
Waziri Mpina atangaza kituo cha Luhira kuwa cha mfano
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina amewaagiza viongozi wa Mkoa wa Ruvuma kufanya utaratibu wa kujenga hosteli na kiwanda...
Tarehe ya kuwekwa: January 7th, 2020
WAGENI wanaosoma katika chuo cha mafunzo ya ulinzi Kunduchi jijini Dar es salaam wamefanya ziara ya mafunzo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea kwa lengo la kujifunzo mambo mbalimbali katika Mkoa...