Tarehe ya kuwekwa: March 10th, 2019
Matukio ya mara kwa mara ya mamba kuua watu mwambao mwa ziwa Nyasa mkoani Ruvuma lilikuwa ni jambo ambalo liliwatia hofu wakazi wa mwambao mwa ziwa Nyasa katika kipindi cha miaka ya 90.
Hata hivyo ...
Tarehe ya kuwekwa: March 9th, 2019
MACHI nane mwaka huu ni siku ya maadhimisho ya siku wanawake Duniani,Maadhimisho hayo katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma yamefanyika eneo la Namanditi Kata ya Ruhuwiko ambapo mgeni rasmi alikuwa ...