Tarehe ya kuwekwa: November 6th, 2018
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imetengeneza Mpango Kabambe (General Planning Scheme) wa miaka 20 (2016-2036) katika maeneo ya uwekezaji na utalii.
Mchumi Mkuu wa Manispaa ya Songea...
Tarehe ya kuwekwa: November 5th, 2018
MADHUMUNI YA KUSAINI MKATABA YA LISHE MANISPAA YA SONGEA
TAREHE 23 OKTOBA 2018
UTANGULIZI
Historia ya kusaini mkataba wa lishe unaanzia tarehe. 19/12/2017 ambapo Waziri wa OR-TAMISE...