FAHAMU kwa kina kuhusu aina mpya ya utalii ambayo inaitwa GEOPARK ambayo ipo katika milima ya Matogoro Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma
Usikose kutazama makala hii fupi ambayo inazungumzia vivutio lukuki ambavyo vinapatikana katika ziwa Nyasa mkoani Ruvuma.
TAZAMA kivutio adimu cha utalii kilichopo katika milima ya Matogoro Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.Kivutio hiki adimu bado hakifahamiki na wengi.Ukipata muda tembelea kivutio hiki ambacho kinawashangaza wengi
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa