MWANASHERIA wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea anatolea ufafanuzi kuhusiana na tafsiri potofu ya Tangazo la Halmashauri ambalo imelitoa hivi karibuni kuhusiana na mapendekezo ya Rasimu ya sheria ndogo ndogo ambapo wananchi wanatakiwa kutoa maoni kuhusu mapendekezo hayo ambayo sio sheria.
MTAZAME Afisa wanyamapori wa mkoa wa Ruvuma Sarah Mokeha akizungumzia kuhusu wanyama aina ya sokwe wanavyofanana DNA na binadamu
MTAZAME Afisa wanyamapori wa mkoa wa Ruvuma Sarah Mokeha akitoa mada ya sokwe siku ya maadhimisho ya sokwe duniani ambayo hufanyika kila mwaka Julai 14.Katika mkoa wa Ruvuma maadhimisho hayo yamefanyika katika shule ya sekondari Songea Girls.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa