TAZAMA mti ambao unaaminika ndiyo unaweza kuishi miaka 1000 ambao upo ndani ya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea
SERIKALI ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt John Magufuli imetoa zaidi ya shilingi bilioni 37 kwa ajili ya upanuzi na ukarabati wa uwanja wa ndege wa Songea ili kuwezesha ndege kubwa kutua.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa