MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SONGEA ANAWATANGAZIA WANACHI WOTE KUWEPO KWA ENEO LA KIUWEKEZAJI LILILOPO MBELE YA KITUO CHA MABASI TANGA NA PEMBEZONI MWA BARABARA YA SONGEA NJOMBE.
ENEO HILI LINAJUMLA YA EKARI 41 NA SEHEMU YA ENEO HILI LIMESHALIPWA FIDIA.
HIVYO WANANCHI AU MWEKEZAJI YEYOTE MWENYE NIA YA KUWEKEZA KATIKA ENEO HILI ANAPASWA KUWASILISHA OMBI LAKE KUPITIA FOMU YA MAOMBI INAYOPATIKANA KWENYE OFISI ZA KITENGO CHA MANUNUZI AU KWENYE TOVUTI YA HALMASHAURI (www.songeamc.go.tz). FOMU HIYO INAPASWA KUJAZWA NA KURUDISHWA KABLA YA TAREHE 08/06/2023.
IMETOLEWA NA:
DR. FREDERICK SAGAMIKO
MKURUGENZI WA MANISPAA
SONGEA
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa