Afisa Elimu Msingi katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Zakia Fandey akiwa na Afisa Elimu Maalum Rehema Nyagawa amefanya mazungumza na walimu wa vitengo vya wenye ulemavu wa akili katika shule ya Msingi Mfaranyaki ambapo wamezungumzia changamoto mbalimbali ambazo zinavikabili vitengo hivyo na hatua za kuchukua ili kukabiliana na changamoto hizo ikiwemo kuwashirikisha wadau mbalimbali ambao wanaweza kujitokeza kusaidia.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa