Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Wakili. Bashiri Muhoja, amekabidhi zawadi ya Mil. 5. Kwa wananfunzi wa Chief Zulu ikiwa ni ahadi ya Mheshimkiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni ahadi yake aliyitoa alipokwenda kuzindua shule hiyo.
“ Mnamo tarehe 24 septemba 2024 mtakumbuka Dkt. Samia aliotembelea hapa na aliahidi kwanunulia ng’ombe 2, Mchele kg 500 na mafuta, kwahiyo nimepewa fedha hizi Mil 5,050,000 ili nije niwakabidhi wananfunzi wa chiefu Zulu kama sehemu ya utekelezaji wake.”
Wakizungumza wananfunzi hao ambapo walitoa neon la shukurani kwa kupokea fedha.
IMETOLEWA NA
AMINA PILLY
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa