MRADI wa ujenzi wa barabara za lami nzito katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma zenye urefu wa kilometa 10.3 zilizogharimu shilingi bilioni 13 umefikia asilimia 90.Kazi ambazo zimebakia kukamilisha mradi huo kwa asilimia 100 ni uwekaji wa taa za barabarani na maeneo ya watembea kwa miguu
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa