MKUTANO wa Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma unatarajiwa kufanyika leo kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea mjini Songea.Mkutano huo wa wazi unaongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Alhaj Abdul Hassan Mshaweji.Wananchi wote wa Manispaa ya Songea mnaombwa kuhudhuria bila kukosa.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa