MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA ANAYOFURAHA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA MANISPAA YA SONGEA KUWA,MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA MANISPAA HIYO,UNATARAJIA KUFANYIKA SIKU YA ALHAMIS TAREHE 02/08/2018 KATIKA UKUMBI WA MANISPAA YA SONGEA KUANZIA SAA NNE ASUBUHI.WANANCHI WOTE MNAALIKWA KUHUDHURIA MKUTANO HUO AMBAO NI WA WAZI KWA MUJIBU WA KANUNI ZA HALMASHAURI.WANANCHI MNAOMBWA KUHUDHURIA MKUTANO HUO BILA KUKOSA KWA MAENDELEO YA MANISPAA YETU YA SONGEA.ATAKAYESOMA AU KUSIKIA TANGAZO HILI AMFAHAMISHE NA MWENZAKE.
TANGAZO LIMETOLEWA NA MKURUGENZI MANISPAA YA SONGEA
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa