BUSTANI ya Manispaa ya Songea imekuwa gumzo kila kona ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea kufuatia wengi wanaofika hapa kufurahishwa na huduma mbalimbali zinazotolewa na bustani hii iliyopo mkabala ya ofisi za Manispaa ya Songea .Mradi huu uliofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa gharama ya shilingi milioni 399,umeanza kazi tangu mwaka jana.Huduma zilizopo katika bustani hii ni pamoja na mhagawa,maeneo ya kupumzikia,bembea,huduma za vyoo na vivutio vingine .
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa