Picha mbalimbali za matukio ya mkutano wa CCM Mkoa wa Ruvuma ambao ulifanyika tarehe 08 Februari 2025 katika uwanja wa shule ya Msingi Matarawe kwa lengo la kuunga mkono azimio la kuteuliiwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassani na Mgombea mwenza Dkt. Emmanue Nchimbi kwa uchaguzi wa 2025.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa