• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

CCM Yazindua Kampeni Jimbo la Songea Mjini; Dkt. Ndumbaro Atetea Kiti chake

Tarehe ya kuwekwa: September 15th, 2025

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimezindua rasmi kampeni zake za kumnadi mgombea wake wa ubunge katika Jimbo la Songea Mjini, Dkt. Damas Ndumbaro, kupitia mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika tarehe 14 Septemba 2025 katika viwanja vya Shule ya Msingi Kiblang'oma.Uzinduzi huo ulihudhuriwa na maelfu ya wanachama na wapenzi wa CCM, ambapo lengo kuu lilikuwa ni kumnadi Dkt. Ndumbaro pamoja na wagombea wa nafasi za udiwani kutoka kata zote za Jimbo la Songea Mjini.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Songea Mjini, Ndugu Mwinyi Msolome, aliwashukuru wanachama kwa kujitokeza kwa wingi na kuonyesha mshikamano wa hali ya juu. Aidha, aliwataka wananchi wa Songea Mjini kujitokeza kwa wingi ifikapo Oktoba 29, 2025 ili kumpigia kura Dkt. Damas Ndumbaro kama Mbunge pamoja na madiwani wote wa CCM katika kata zao.

Kwa upande wake, Dkt. Ndumbaro aliwashukuru wanachama na wananchi kwa imani waliyoionyesha kwake, huku akiainisha vipaumbele vya Ilani ya CCM ambavyo ataendelea kuvisimamia iwapo atapewa ridhaa tena kuwaongoza. Mambo aliyoyataja ni pamoja na:

Kuendeleza utoaji wa ruzuku ya mbolea kwa wakulima, Ujenzi na uboreshaji wa shule za msingi na sekondari, Ujenzi wa chuo cha elimu ya juu katika jimbo, Utoaji wa pembejeo za kilimo kwa wakati, Ujenzi wa masoko ya kisasa, Uboreshaji wa uwanja wa ndege wa Songea, Kuinua sekta ya michezo kwa vijana wa jimbo hilo

Katika hatua nyingine, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ikungi Magharibi, Mhe. Elibariki Kungi, ambaye pia alihudhuria mkutano huo, aliwaomba wananchi wa Songea Mjini kumchagua Dkt. Ndumbaro kwa mara nyingine akisema kuwa amekuwa kiongozi mwenye utekelezaji mzuri wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020, na ameleta maendeleo makubwa katika kipindi chake cha uongozi.

Mhe. Elibariki aliwasihi pia wananchi hao kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mgombea Mwenza Dkt. Emanuel Nchimbi katika Uchaguzi Mkuu ujao.

MWISHO

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 05, 2026
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Januari 2026 January 19, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kapenjama Ndile, Atoa Ufafanuzi Kuhusu Bei ya Bei ya Mbolea, Atoa Rai Matumizi ya Nishati Mbadala.

    February 18, 2026
  • Kapenjama Ndile, Atoa Ufafanuzi Kuhusu Bei ya Bei ya Mbolea, Atoa Rai Matumizi ya Nishati Mbadala.

    February 18, 2026
  • Mtella Apongeza Mafanikio ya Mkataba wa Lishe Songea MC; Aelekeza Bima ya Afya kuwa Ajenda ya Kudumu

    February 11, 2026
  • Mtella Apongeza Mafanikio ya Mkataba wa Lishe Songea MC; Aelekeza Bima ya Afya kuwa Ajenda ya Kudumu

    February 11, 2026
  • Tazama zote

Video

Yaliyojiri Kikao cha DCC Songea
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Judi Online
  • KOI200
  • KOI200
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • toto slot
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • toto
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • situs toto
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • toto slot
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • situs toto
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • situs toto
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • toto slot
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77