HIKI ni chanzo cha maji katika bonde la Mto Luhira ambacho kinategemewa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Manispaa ya Songea (SOUWASA) kusambaza maji kwa wakazi wa maispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambapo wakazi zaidi ya laki mbili wanapata maji.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa