Picha mbalimbali za matukio ya wananfunzi wa Shule ya Chief Zulu wakipata chakula cha mchana ambacho ni zawadi ya Dkt, Samia Suluhu Hassan ambayo aliahidi kuwapatia wanafunzi ng'ombe 2 na mchele kilo 500 na mafuta ya kupikia alipotembelea shuleni hapo, Mnamo taehe 24 Septemba, Pia wakati anahitimisha ziara yake aikwa uwanja wa Majimaji aliahidi kutoa ng'ombe wawili na mchele kilo 500, jumla ya zawadi ni ng'ombe 4 na mchele kilo 1000 ambapo zawadi hizo zimeanza kutumika hapo jana tarehe 28 Oktoba 2024.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa