MKUU wa wilaya ya Songea mkoani Ruvuma nchini Tanzania pololet Mgema amewatahadharisha wakandarasi katika wilaya hiyo kuhakikisha wanamaliza miradi ya ujenzi ndani ya mkataba na kuhakikisha miradi hiyo inatekelezwa katika ubora unaolingana na thamani ya fedha za mradi husika.
Ametoa tahadhari hiyo wakati anazungumza na wakandarasi wanaojenga miradi ya machinjio ya kisasa na mradi wa Stendi Mpya ya mabasi Songea.Miradi yote inatekelezwa katika kata ya Tanga Manispaa ya Songea ikigharimu zaidi ya shilingi bilioni tisa ambazo zimetolewa na Benki ya Dunia.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa