• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DC Songea, Ampongeza Mkurugenzi Kuruhusu Watumishi Kushiriki Michezo SHIMISEMITA, Aahidi Zawadi Kubwa Kwa Ushindi.

Tarehe ya kuwekwa: August 13th, 2025

Na; Amina Pilly.

\Mkuu wa Wilaya ya Songea, Mhe. Kapenjama Ndile, amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea, Wakili Muhoja, kwa hatua ya kizalendo ya kutenga bajeti kwa ajili ya ushiriki wa watumishi wa halmashauri hiyo katika mashindano ya SHIMISEMITA, yanayotarajiwa kuanza kitaifa tarehe 15 Agosti, 2025 jijini Tanga.

Akizungumza katika kikao maalum na wanamichezo hao, Mhe. Ndile alisema kuwa ushiriki wa watumishi katika michezo hiyo ni utekelezaji wa sera ya taifa na agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalozitaka Wizara, Taasisi, na Idara za Serikali kuhakikisha wanakuwa na mashirikisho ya michezo yanayojumuisha watumishi wa umma.

Ameeleza kuwa Mkoa wa Ruvuma, kupitia mji wa Songea, una historia kubwa ya michezo ambayo chimbuko lake liliasisiwa na hayati Dkt. Lawrence Gama, aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma na mpenda michezo hodari.

 

"Mji wa Songea ni nyumbani kwa timu ya Majimaji na Uwanja wa Majimaji, uliowekwa msingi kupitia juhudi za wanamichezo wa wakati huo. Historia hii ni ya kipekee, na tunayo dhamana ya kuendeleza urithi huu," alisema DC Ndile.

Aliwataka wanamichezo hao kuonesha nidhamu, ustaarabu na bidii uwanjani huku wakilenga ushindi, akiahidi kutoa zawadi nono iwapo timu hiyo itarejea na ngao ya ushindi.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea, Wakili Muhoja, alisema kuwa kwa mwaka wa fedha 2025/2026, halmashauri imetenga bajeti ya shilingi milioni 61 kwa ajili ya kugharamia ushiriki wa watumishi katika michezo hiyo. Bajeti hiyo inahusisha gharama za usafiri, posho, vifaa vya michezo na ada ya ushiriki.

Miongoni mwa michezo ambayo watumishi wa halmashauri hiyo watashiriki ni pamoja na mpira wa miguu, mpira wa pete, mpira wa wavu, kuvuta kamba, drafti, na bao. Aidha, ameahidi kuwa katika bajeti ya mwaka 2026/2027, halmashauri itapanua wigo wa ushiriki kwa kujumuisha michezo mingine kama kwaya.

Nahodha wa timu hiyo, kwa niaba ya wanamichezo wote, alitoa shukrani kwa Mkurugenzi, Menejimenti ya Halmashauri, pamoja na viongozi wa Wilaya na Mkoa kwa kuwawezesha kushiriki michezo hiyo, huku akiahidi kuwa timu yao itacheza kwa nidhamu, uadilifu na kurudi na ushindi wa kishindo

Tukio limefanyika leo tarehe 13 Agosti 2025 katika viunga vya ofisi ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea ambalo lilishirikisha wanamichezo hao, wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na watumishi wa Halmashauri hiyo.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 05, 2026
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Januari 2026 January 19, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mtella Apongeza Mafanikio ya Mkataba wa Lishe Songea MC; Aelekeza Bima ya Afya kuwa Ajenda ya Kudumu

    February 11, 2026
  • Mtella Apongeza Mafanikio ya Mkataba wa Lishe Songea MC; Aelekeza Bima ya Afya kuwa Ajenda ya Kudumu

    February 11, 2026
  • TARURA YAIDHINISHA Bil. 2.6 KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    February 03, 2026
  • Kamati ya Siasa Mkoa Yafanya Ziara ya Kutembelea Miradi ya Maendeleo Songea MC

    February 02, 2026
  • Tazama zote

Video

Bil.63.2 yapitishwa kutumika kipindi cha 2026/2027
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Judi Online
  • KOI200
  • KOI200
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • toto slot
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • toto
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • toto slot
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • situs toto
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88