• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DC SONGEA ATOA SIKU 30 KUTATUA CHANGAMOTO YA MADAWATI.

Tarehe ya kuwekwa: February 28th, 2020

MKUU wa wilaya ya Songea Pololet Mgema ametoa siku 30 kwa watendaji wa Halmashauri za Madaba,Songea Manispaa na Halmashauri ya wilaya ya Songea  kutatua changamoto za madawati katika Halmashauri zao.

Hayo yamebainika  kwenye kikao kazi cha ufuatiliaji wa miradi mbalimbali kilichofanyika 25/02/2020 katika ukumbi wa Manispaa ya Songea.

Mgema, alitoa  agizo hilo kwa Wakurugenzi wa Halmashauri ya Madaba, Songea DC, Manispaa  ya Songea ambapo alisema  hadi  kufikia tarehe 25/02/2020 kwa kila  Halmshauri iwe imekamilisha zoezi la utengenezaji wa Madawati  shule ya Msingi na Shule za Sekondari.

“kutokana na mahitaji kuwa makubwa kuliko uwezo wa Halmashauri, hivyo nawaaagiza TFS Kutoa vibali kwa ajili ya uvunaji wa miti ambayo itaisaidia katika utengenezaji wa Madawati  hayo lakini  mara mtakapohitaji kukata miti hiyo ni lazima taarifa ipelekwe ofisini kwa ufuatiliaji wa zoezi hilo.” Alisisitiza.

Alibainisha mahitaji na mapungufu yaliyopo katika  Halmashauri ya Wilaya ya Songea  kwa shule za Msingi  mahitaji ya Madawati 11,584, Yaliyopo ni 10,277, Upungufu ni madawati 1,307 sawa na  asilimia11. Kwa upande wa Shule ya Sekondari mahitaji ya viti ni 6,482, yaliyopo ni 4033, na pungufu ni 2449, pia mahitaji ya meza 6482, yaliyopo ni 4625 na pungufu ni 1857.

Halmashauri ya Madaba Mahitaji ya Madawati ni 531,Yaliyopo ni 578, na kufanya ziada ya madawati  62. Pia kwa upande wa Sekondari mahitaji ya meza ni 2910, yaliyopo 2891, pungufu 19 pia mahitaji ya viti ni 2910, yaliyopo ni 2831 na pungufu ya viti ni 79.

Halmashauri ya Manispaa ya Songea Kwa Shule za msingi mahitaji ya Madawati 17,827, yaliyopo ni 15,580, na pungufu ni 2,247. Pia Mahitaji Ya Meza shule za Sekondari ni 15444, yaliyopo ni 9733, pungufu 5711 na mahitaji ya viti ni 15444, yaliyopo 9990, pungufu 5454.

Aidha, katika kukabiliana na changamoto hizo kiongozi huyo  amezitaja njia mbadala za utatuzi wa changamoto hizo ni pamoja na kushirikisha wadau mbalimbali, TFS kutoa vibali kwa ajili ya ukataji wa miti, kuwashirikisha viongozi ngazi ya kata/vijiji/ Mtaa pamoja na kuanzisha mfuko wa Elimu kwa halmashauri.

                                                              IMEANDALIWA NA;

                                                                  AMINA PILLLY

                                                    KAIMU AFISA HABARI MANISPAA YA SONGEA.

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa