Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Dkt. Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria leo tarehe 30 desemba 2024 amegawa majiko kwa mama lishe 7 kutoka kqtq 21 zilizopo Manispaa ya Songea kwa lengo la kuunga mkono jitihada za Serikali za kuwia uharibifu wa
Mazingira ambao unasababisha ukataji wa miti holela.
AMINA PILLY
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa