Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Songea na kuanza ziara yake ya kihstoria Wialayani Namtumbo Mkoani Ruvuma kwa la kuzindua kiwanda cha majaribio cha Uchenjuani madini ya Uranium kinachotekelezwa na kampuni ya Mantra Tanzania Limited, Mradi wenye mchango mkubwa kwa maendeleo ya sekta ya Nishati na Uchumi.
Ziara hiyo imefanyika leo tarehe 30 Julai 2025 Mkoani Ruvuma
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa