Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe amefungua kikao kazi kwa maafisa Habari, mahusiano na mawasiliano serikalini kwenye ukumbi wa AICC Jijini Arusha. Kikao kazi hicho cha siku tano kinawashirikisha maafisa mawasiliano 300 toka nchi nzima. Akizungumza wakati anafungua kikao hicho, Dk.Mwakyembe amesisitiza kuwa maafisa Habari ni kada muhimu sana katika kipindi hiki cha Uongozi wa serikali ya awamu ya tano ambayo inakumbana na changamoto ya Sayansi na Teknolojia ambayo inahitaji matumizi makubwa ya TEHAMA.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa