MKUU wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA kilichopo Msamala Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma anatangaza kozi ndefu na fupi zinazotolewa na chuo hicho ambazo zinamwezesha mhitimu kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe.
KOZI NDEFU NI
1.Ufundi wa magari
2.Uungaji vyuma
3.Umeme wa magari
4.Umeme wa majumba
5.Useremala
6.Uashi
7.Ufundi bomba
8.Ushonaji nguo
9.Uhazili na kompyuta
10.Matumizi ya kompyuta
KOZI ZA MUDA MFUPI
1.Udereva wa magari(daraja D)
2.Udereva wa magari ya abiria na pikipiki
3.Uhazili
4.Ukarabati wa kompyuta
5.Utumiaji wa kompyuta
6.Umeme wa majumba
7.Umeme wa jua
8.Ulimbwende(Saloon ya kike)
9.Utengenezaji wa dawa za usafi,sabuni za maji na upishi
10.Utengenezaji wa batiki na sabuni
11.Ufugaji kuku
12.Uandaaji wa vyakula(Catering).
Lengo la serikali kuanzisha vyuo vya VETA ni kutoa ujuzi kwa wahitaji wote mahali popote walipo ili kupunguza changamoto ya ajira nchini ambayo inawakabili wananchi wengi.
KUMBUKA VETA Songea imedhamiria kuwajengea uwezo wahitimu wa fani mbalimbali kabla ya hawajaingia rasmi kwenye soko la ajira.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba zifuatazo:
SIMU:0767237543 AU 0754652674
EMAIL:songeavtc@veta.go.tz
WOTE MNAKARIBISHWA
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa