MBUNGE wa Viti Maalum mkoani Ruvuma Jakline Msongozi ameratibu semina elekezi ya fursa ya upatikanaji wa matrekta kwa gharama na masharti nafuu toka Shirika la Maendeleo la Taifa NDC.Semina hiyo ambayo ilifunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ambaye aliwakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.Katika semina hiyo NDC walileta matrekta sita katika mkoa wa Ruvuma ambayo kwa kuanzia kila Wilaya itapata trekta moja.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa