WATAALAM toka Baraza la Uwekezaji la Taifa wamefanya ziara katika Manispaa ya Songea wakishirikiana na Wataalam wa manispaa hiyo wakiwemo wakuu wa Idara,Vitengo na wawakilishi wa wafanyabiashara kubainisha maeneo ya uwekezaji na Changamoto zake ili kuvutia wawekezaji.
Miongoni mwa maeneo ya uwekezaji yaliyoibuliwa katika kikao hicho ni fursa za Kilimo,viwanda,huduma za utalii,ufugaji samaki,usafiri wa anga,huduma za afya na maeneo ya burudani na maduka makubwa.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa