SHULE ya sekondari ya Goldengate iliyopo Unangwa Kata ya SeedFarm Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma nchini Tanzania imekuwa inafanya vizuri kitaaluma kila mwaka.
Shule hii inamilikiwa na Taasisi ya St.Teresa Orphas Foundation(STOF).Taasisi ya STOF inafanyakazi katika nchi mbili za Tanzania na Marekani.
Mkuu wa sekondari hii Albert Gama anabainisha kuwa sekondari hii ni lango la dhahabu katika elimu ndiyo maana imekuwa inafanya vizuri katika elimu ukilinganisha na shule nyingine-----------
Mkurugenzi wa STOF nchini Marekani Teresa Nyirenda anaeleza zaidi kuhusiana na Taasisi hiyo kuanzisha shule hii ya sekondari na matarajio ya baadaye kuhakikisha shule hiyo inakuwa na viwango vya kimataifa-------------
Mwalimu Mkuu mstaafu wa shule ya sekondari ameitembelea sekondari hii kwa lengo la kujifunza na mara baada ya kuzunguka vitengo vyote ametoa maoni yake-----
------------------------------------
Wanafunzi wanaosoma katika shule hii wanafurahishwa na huduma zinazotolewa katika shule hii.Moja ya huduma hizo ni kupewa bure magodoro yenye viwango kwa wanafunzi ambao magodoro yao yamechakaa,kama wanavyoeleza wanafunzi hawa…………………………………
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa