Kama umepoteza simu yako ya mkononi inaweza fuatiliwa na ukaipata.
Kila simu ina namba yake ya IMEI ambayo ni tofauti kabisa na simu nyingine. Hii ni namba ya kifaa cha kimataifa cha utambulisho ambacho huweza kutumika kufuatilia mahali simu ilipo popote ulimwenguni.
*Hivi ndivyo inavyofanya kazi:*
1. Piga *#06# kwenye simu yako.
2. Simu yako itakuonyesha takwimu 15 ambazo ni pekee na hakuna simu nyingine inazo.
Andika hii namba sehemu unapohifadhi vitu vyako muhimu isipokuwa kwenye simu yenyewe kwani hii ndiyo namba itakayokusaidia kufuatilia endapo simu yako imeibiwa.
4. Mara simu inapoibiwa nenda kwenye barua pepe na utume tarakimu hizi 15 za EMEI namba kwa cop@vsl.net pamoja na taarifa hizi zifuatazo:
Jina lako___________
Anuani_____________
Namba ya simu________
Kampuni iliyotengeneza simu__________
Namba ya mwisho kutumia____________
Barua pepe utumiayo kwa mawasiliano_______
Tarehe iliyopotea_______
IMEI namba_________
5. Hakuna haja ya kwenda polisi.
Simu yako itafuatiliwa ndani ya masaa 24 kupitia mfumo changamano wa GPRS na intaneti na simu yako itapatikana mahali ilipo ikitumika na namba ya simu ya mtu anayeitumia kwa wakati huo na vyote hivi vitatumwa kwako kupitia barua pepe yako na utavikuta.
TUMA UJUMBE HUU MUHIMU KWA WOTE.
*C&P*
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa