Mkuu wa Wilaya amewataka watendaji wa kata kuhakikisha wanasimamia zoezi la afua ya lishe katika kila Mtaa ili kuweza kuondoa tatizo la utapiamlo katika jamii.
Akizungumza katibu tawala Wilaya ya Songea amewapongeza watendaji hao kwa kufanikisha shule kutoa chakula kwa wanafunzi ambapo amewataka kusimamia uwepo wa bustani za mboga mboga katika shule zote zilizopo Manispaa ya Songea. Hayo yamejiri katika kikao cha tathimini ya lishe kilichofanyika tarehe 12 februari 2025 katika ukumbi wa Manispaa ya Songea.
MWISHO
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa