HALI ya usafi katika Mitaa yote 95 ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, inaridhisha kwa sababu ya zoezi la usafi wa mazingira kuwa endelevu kwa kufanya usafi wa mazingira kila jumamosi ya mwisho wa mwezi.
Mkuu wa Idara ya Usafi wa Mazingira katika Halmashauri hiyo Philipo Beno anasema,hali ya ujenzi wa vyoo katika mitaa 95 imefikia asilimia 98.02 kwa vyoo vya kawaida na asilimia 83.6 vyoo bora, ambapo Serikali ilitoa fedha kiasi cha Shilingi milioni 15,000,000 kutekeleza shughuli hizo katika mwaka wa fedha 2017/2018.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa