BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,limepitisha bajeti ya zaidi ya shilingi bilioni 41 katika bajeti ya mwaka 2019/2020.Bajeti hiyo imepitishwa katika kikao maalumcha bajeti ambacho kimeongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea Alhaj Abdul Hassan Mshaweji.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa