• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

HALMASHAURI ya Nyasa yatekeleza maagizo ya Mkuu wa Wilaya

Tarehe ya kuwekwa: November 18th, 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa imetekeleza  agizo la Mkuu wa  Wilaya ya Nyasa, Bi Isabela Chilumba la kuanzisha Soko la samaki katika eneo la Fisheries  Wilayani hapa, kwa kipindi cha siku saba.

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa alitoa agizo hilo octoba 30 mwaka huu, wakati akiongea na wavuvi,p amoja na wachuuzi wa mazao ya uvuvi  kwa lengo la kutatua changamoto ya kutokuwa na Soko la samaki wilayani Nyasa.

Uchunguzi uliofanyika na mwandishi wa habari hizi umebaini kabla ya kutimia siku saba za agizo hilo, soko la samaki  lilikuwa limeshaanza katika jengo la karakana ya kutengenezea boti,  ambalo lilikuwa halitumiki. wavuvi wengi wa Mbamba-bay wamefurahia uwepo wa soko hili ambalo limetatua changamoto,  kero ya kutokuwa na sehemu maalumu ya kuuzia samaki, iliyokuwa inawakabili wavuvi na wachuuzi wa samaki.

Mkuu wa idara ya mifugo na uvuvi Wilaya ya Nyasa Bernard Semwaiko amethibitisha kuanza kwa soko hilo la samaki Mjini Mbamba-bay na  leo amefanya kikao na uongozi wa kamati ya soko la samaki Mbamba-bay kwa lengo la kutatua changamoto zingine  katika soko hilo la samaki. 

Wafanyabiashara  wa samaki wamempongeza Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Bi Isabela Chilumba, na Uongozi wa Halmashauri  Nyasa kwa kuanzisha Soko  la Samaki , na kuhakikisha kuwa wafanyabiashara  wanatekeleza majukumu yao bila kikwazo chochote.

Imeandaliwa na Netho c.Sichali kaimu afisa habari Nyasa.0767417597

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa