HIFADHI ya Taifa ya Kitulo ni miongoni mwa vivutio vya utalii vinavyovutia wageni wengi iliyopo wilayani Makete mkoani Njombe.Miongoni mwa vivutio vilivyomo ni ndege wenye uwezo wa kuruka toka bara moja hadi jingine.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa