WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk Philipo Mpango amewasilisha bajeti ya serikali kwa mwaka ujao wa fedha wa serikali 2018-2019,bungeni jijini Dodoma.Serikali inatarajia kukusanya na kutumia TSh32 trilioni katika mwaka wa fedha 2018/19 ikiwa ni ongezeko la TSh800 bilioni ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2017/18 ya TSh31.7 trilioni.BOFYA HAPA KUONA HOTUBA ya Bajeti ya mwaka 2018-2019.pdf
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa