• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

IFAHAMU Manispaa ya Songea sehemu ya kwanza

Tarehe ya kuwekwa: October 12th, 2018

HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea iliyopo mkoani Ruvuma, inakadiriwa kuwa na idadi ya Watu 252,150 wakiwemo Wanaume 119,182 na Wanawake 132,968 kutokana na ongezeko la asilimia 4.4 kwa mwaka, Aidha ina jumla ya Kaya 61,930 kwa wastani wa watu 4.2 kwenye kila kaya.

 Halmashauri ina jumla ya Mitaa 95, Kata 21 na Tarafa 2. Halmashauri ina jumla ya waheshimiwa madiwani 28, kati yao 21 ni wa kuchaguliwa, 7 ni wawakilishi Viti Maalum. Halmashauri inalo jimbo moja la uchaguzi ambalo Mbunge wake ni Mhe. Damas Ndumbaro  na Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Jackline Ngonyani.

Halmashauri ina jumla ya watumishi 2,521 Kati ya mahitaji ya watumishi 3,142 na hivyo kuwa na upungufu wa watumishi 621.

Mchumi Mkuu wa Manispaa ya Songea Raphael Kimary anazitaja shughuli muhimu za kiuchumi katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea kuwa  ni Kilimo na biashara ambapo Kilimo huchangia asilimia 75 ya pato la Halmashauri.

Anayataja mazao yanayowapatia wananchi Mapato makubwa ni Mahindi na Mpunga, aidha pato la mkazi wa Manispaa ya Songea ni 738,022.00 kwa mujibu wa ripoti ya GDP iliotolewa na ofisi ya Taifa ya Takwimu mwaka 2006.

Kwa sasa Halmashauri ya Manispaa ya Songea ipo katika hatua za mwisho za kukokotoa pato la mkazi kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ili kujua pato la mkazi kwa sasa.

Dira ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea ni kuwa kitovu cha uwekezaji na maendeleo ya viwanda ili kufikia maendeleo endelevu ya jamii 2025.

Karoline Bernad ni Mkuu wa Idara ya Ujenzi katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea anasema Manispaa hiyo ina Mtandao wa barabara ulioingizwa kwenye mfumo wenye Jumla ya km 460.15. Kati ya hizo km 14.96 ni za lami, km 125.32 ni za changarawe na km 319.87 ni za udongo.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa