Picha mbalimbali za matukio ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuruambao uliwasili tarehe 14 Mei 2025 na kukabidhi Wilaya ya Namtumbo tarehe 15 Mei 2025 ambapo umepita Manispaa ya Songea na kuweka jiwe la msingi kwa baadhi ya miradi 2 na uzinduzi mradi mmoja yenye jumla ya Bil.1.8 kwa miradi 9.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa