Jukwaa la Uwezeshaji la wanawake la kiuchumi Wilaya ya Songea limefanya uchaguzi wa kubadili viongozi hao ambao umefanyika tarehe 30 Januari 2026 katika ukumbi wa Manispaa ya Songea ambao ulihudhuriwa na wajumbe mbalimbali kutoka katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba, Halmashauri ya Wilaya ya Songea na Manispaa ya Songea.
Uchaguzi huo ulifanyika na kuchagua nafasi ya Mwenyekiti na makamu wake, katibu na msaidizi wake pamoja na wajumbe kwa lengo la kubadili baraza lililopita muda wake ambao hufanyika kila baada ya miaka 3.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa