KAKAKUONA ambaye ni mnyama adimu duniani leo amezua amekuwa kivutio cha aina yake katika viunga vya manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ,baada ya watu mbalimbali kujitokeza kumshangaa mnyama huyu. Jina kakakuona linatokana na uadimu wake wa kutokuoneka,mnyama huyu huchukuliwa kwamba kuonekana kwake ni bahati kwa namna moja au nyingine.
SOMA zaidi hapa http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Mambo-13-usiyoyajua-kuhusu--kakuoana/1597296-2611258-ch9dblz/index.html
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa