KAMATI ya Fedha na Uongozi ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imekagua ujenzi wa stendi kuu ya mabasi ya Songea ambayo inajengwa katika kata ya Tanga takribani kilometa 14 toka mjini Songea.Mradi huu ambao umefadhiliwa na Benki ya Dunia kwa zaidi ya bilioni sita,hadi sasa ujenzi umefikia asilimia 35,mradi katika awamu ya kwanza unatarajia kukamilika Septemba 30,2019.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa