• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Kamati ya Siasa Mkoa Yafanya Ziara ya Kutembelea Miradi ya Maendeleo Songea MC

Tarehe ya kuwekwa: February 2nd, 2026

Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma, Komredi Oddo Mwisho, imefanya ziara ya kukagua na kutathmini utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika kata tofauti ndani ya Manispaa ya Songea, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 49 ya kuzaliwa kwa CCM.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Komredi Oddo Mwisho amewataka wataalamu ngazi zote kuendelea kuboresha utendaji wao wa kazi hususan katika usimamizi wa miradi ya maendeleo, ili kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati na kwa viwango vinavyotakiwa. Ameelekeza pia kukamilishwa kwa majengo ambayo bado hayajakamilika ili kupunguza msongamano wa wanafunzi madarasani.

Aidha, Komredi Oddo Mwisho amesema baadhi ya changamoto zilizopo zinaweza kutatuliwa katika ngazi za kata au mitaa bila kusubiri hatua za juu, na kupitia changamoto ya majengo ambayo hayajakamilika, amemtaka Mkurugenzi wa Manispaa kuhakikisha yanakamilishwa kwa haraka. Vilevile amesisitiza upakaji rangi kwenye majengo yaliyochakaa ili kuboresha miundombinu na mandhari ya maeneo ya utoaji huduma za kijamii.

Miongoni mwa miradi iliyotembelewa katika ziara hiyo ni ujenzi wa Shule Mpya ya Elimu ya Msingi AMALI, ujenzi wa madarasa mawili katika Shule ya Msingi Amani, pamoja na mradi wa FAST TRACK uliopo katika Kituo cha Afya Mjimwema.

Ziara hiyo imefanyika leo, tarehe 02 Februari 2026, na imehudhuriwa na viongozi wa Kamati ya Siasa ya Mkoa, wataalamu wa ngazi ya Mkoa pamoja na wataalamu kutoka Manispaa ya Songea

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 05, 2026
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Januari 2026 January 19, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mtella Apongeza Mafanikio ya Mkataba wa Lishe Songea MC; Aelekeza Bima ya Afya kuwa Ajenda ya Kudumu

    February 11, 2026
  • Mtella Apongeza Mafanikio ya Mkataba wa Lishe Songea MC; Aelekeza Bima ya Afya kuwa Ajenda ya Kudumu

    February 11, 2026
  • TARURA YAIDHINISHA Bil. 2.6 KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    February 03, 2026
  • Kamati ya Siasa Mkoa Yafanya Ziara ya Kutembelea Miradi ya Maendeleo Songea MC

    February 02, 2026
  • Tazama zote

Video

Bil.63.2 yapitishwa kutumika kipindi cha 2026/2027
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Judi Online
  • KOI200
  • KOI200
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • toto slot
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • toto
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • toto slot
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • situs toto
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88