• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KARIBU MKOANI RUVUMA," Makamu wa Rais DKT. PHILIPO MPANGO"

Tarehe ya kuwekwa: July 19th, 2023

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro (MB) amewataka Wenyeviti wa Mitaa, Watendaji wa kata na Mitaa kuhakikisha wanatoa taarifa kwa wananchi juu ya ujio wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philipo  Isdory Mpango, Mkoani Ruvuma.

Hayo yamebainishwa leo katika kikao kazi kilichofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Songea kwa lengo la kutoa taarifa kwa viongozi wa Serikali za Mitaa ili waweze kuhamasisha Wananchi siku ya Uzinduzi wa Kituo cha Afya Lilambo tarehe 21 Julai 2023 ambacho kimejengwa kwa mapato ya ndani, pamoja na kushiriki siku ya Uzinduzi wa Kampeni ya kutoa Msaada wa Kisheria  ya Mama Samia.

Dkt. Ndumbaro amewataka viongozi hao kufahamu umuhimu wa  Kampeni hiyo hata kama hawana changamoto  yoyote inayohitaji  Msaada wa Kisheria kwa  sasa  lakini wanapaswa kupata Elimu ya Msaada wa Kisheria ambayo  itazinduliwa  kwa kata 10.

Miongoni mwa kata 10  zitakazo zinduliwa ni kata ya Mletele,  Lilambo, Lizaboni, Tanga, Mshangano, Mwengemshindo, Matogoro, Subira, Ruvuma na  Ndilima litembo.

Alisema Uzinduzi wa Kampeni ya  Mama Samia itafanyika tarehe 22 Julai ambayo itarushwa Mubashara kupitia Vyombo vya Habari kwa lengo la kufikisha ujumbe  kwa wananchi  wa Mkoani Ruvuma.

Ziara ya Makamu wa Rais itahitimishwa mnamo tarehe 24 Julai 2023.

Na;

AMINA PILLY;

KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI. 



Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa