Manispaa ya Songea inatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru tarehe 20 April 2023 ambao utapokelewa Shule ya Msingi Sanangula ukitokea Halmashauri ya Madaba ambapo utatembelea miradi ya Maendeleo katika Manispaa ya Songea, na kukabidhiwa tarehe 21 April 2023 katika kijiji cha Uyahudini Halmashauri ya Wilaya ya Songea.
AMINA PILLY
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa