Tangu kifo cha Kofi Annan, nimekuwa nikitafakari ni kitu gani kilimfanya awe wa kipekee! Hivi ndivyo ambavyo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewaeleza maelfu ya waombolezaji katika mazishi ya mmoja wa watangulizi wake Kofi Annan aliyezikwa Septemba 13 huko Accra nchini Ghana SOMA zaidi hapa https://news.un.org/sw/