Katibu Tawala Wilaya ya Songea Mtella Mwampamba amewataka wananchi kushiriki zoezi lka usafi wa kila mwezi ili kuondokana namagonjwa ya kipindupindu na magonjwa ya tumbo.
Kauli hiyo ameitoa siku ya tarehe 25 Mei 2024 katika viwanja vya kata ya Lizaboni akiwa kwenye zoezi la usafi wa kila mwisho wa mwezi ambao ulishirikisha wananchi wa kata hiyo ikiwa ni eneo maalum ambalo mwenge wa uhuru utakesha mnamo tarehe 14 Juni 2024.
Mwampamba alisema wananchi wa Lizaboni ni miongoni mwa wananchi ambao hawataki kuchangia watoto wao chakula cha shule hivyo aliwataka kila mzazi ahakikishe anapeleka mchango wa chakula ili kujenga afya za wanafunzi hao na kuongeza ufaulu darasani. Alisistiza.
IMEANDALIWA NA
AMINA PILLY;
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa