MRADI wa kituo cha Afya Kata ya Ruvuma katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma uliyogharimu shilingi milioni 400 umekamilika na unarajia kusogeza karibu huduma za afya ambazo zitawanufaisha wakazi 45,000 kutoka katika kata za Ruvuma,Majengo,Subira na Mateka .Mganga Mkuu wa Manispaa ya Songea Dkt.Mameritha Basike ameyataja majengo manne yaliyokamilika katika mradi huo kuwa ni jengo la wagonjwa wa nje,maabara,jengo la upasuaji na mama na mtoto.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa