kivuko kinachounganisha Londoni Kata ya Lizaboni na Ruhuwiko Kata ya Ruhuwiko Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,kimekamilika na kuanza kuhudumia wakazi wa eneo husika.Mradi huo uliogharimu shilingi milioni 7.7 ulihusisha ujenzi wa kivuko,kalvati na kuinua tuta la barabara ya kivuko lenye urefu wa meta 40.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa