Picha mbalimbali za matukio ya usafi wa mazingira pamoja na upandaji wamiti iliyofanyika katika shule mpya ya Sekondari Ruhuwiko kwa lengo la kuenzi Muungano.
Katika kuelekea kilele cha sherehe hizo, Manispaa ya Songea itafanya kazi ya matembezi ya amani,pamoja na kongamano la wananchi, wazee, pamoja na wanafunzi itakayofanyika katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Songea kuanzia saa 1;30 asubuhi.
Amina pilly.
\Kitengo cha mawasiliano Serikalini,
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa